Pia alitembelea Bwawa la kuzalisha umeme la Nyumba ya Mungu kujioneo shughuli za uzalisha. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi SDeif Ali Iddi akikagua shamba la Minazi la Serikali la ekari 45 lililo chini ya usimamizi wa Wizara ya Ardhi linakabidhiwa kwa Wizara ya Kilimo kwa vile lipo katika Ukanda wa Utafiti wa Kilimo hapo katika Kijiji cha Tumbe Mkoa Kaskazini Pemba. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA WADAU WA ELIMU ZANZIBAR.J, Mhe. Bw. Bwawa hilo lipo mpakani mwa Mkoa wa Iringa na Dodoma, lilianzishwa mwaka 1888 kwa lengo la kuhifadhi maji ya ufuaji umeme katika Kituo cha Kidatu, mkoani Morogoro. “ Tuna jukumu kubwa la kuhakikisha maji hayaleti madhara nilipokuja kipindi cha nyuma niliona madhara kwenye baadhi ya maeneo na ndio maana nikaunda timu kupitia kwa Katibu Mkuu na baadhi ya viongozi wa Mikoa inayozunguka bwawa hili wafanya uratibu ili kuhakikisha yasiendele kuleta madhara kwa wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo lazima tuyalinde mazingira yetu” alisema Kalemani. Aidha, amesema ametoa siku kumi kwa timu iliyoundwa ambayo ipi chini ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, kutoa taarifa rasmi ya namna gani sasa ya kwenda kuhakikisha vyanzo vya maji vinalindwa na umeme wa uhakika unapatikana nchini. ... Tito E. Mwinuka amefanya kikao na Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Morogoro ikiwa ni pamoja na kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2018. Ndugu Wanahabari, tunapenda kuwakumbusha Watanzania kwamba mgawo huu wa umeme kwa kiasi kikubwa umesababishwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa yetu yanayotumika kuzalisha umeme (Mtera, Kidatu, Kihansi, Hale na Nyumba ya Mungu). Ameongeza kuwa,waatalamu hao wanapofunguliwa maji hawapaswi kuwafungulia na kuwacha yakizaga badala yake wayafungulie ili kwenda kwenye mkondo wake unaostahili, kwakuwa yanapozagaa ndio madhara yanapotokea kwa wananchi ambao wanaishi kandokando ya maeneo hayo. Alisema ni vyema kuangalia maoni ya wanaharakati huwa ni kwa faida ya nani, hasa baada ya mradi huo kuwa 'kizobo' cha mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma kupitia mikataba ya ununuzi wa umeme wa dharura. Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi wa Makamu Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ndani ya pori la akiba la Selous kuna 'maziwa' mengi ambayo yanatengenezwa na mto rufiji. UMEME HAUWAKI UKAMALIZA DK 5 BILA KUKATIKA. Kama msafiri na mara nyingi huwa sio wenyeji kwa mahali unapokwenda ni vema kujua ni huduma gani unaweza kuzipata kwenye hoteli unayotaka kwenda. Mussa Hassan, amesema lengo la Serikali ni kulinda vyanzo vya maji kwasababu maji yakikosekana umeme utashindwa kuzalishwa nchini na umeme usipozalishwa uchumi wa nchi yetu utayumba na nchi inategemea umeme na umeme wa bei chini ni umeme unaotokana na vyanzo vya maji. Halmashaur­i ina eneo la kilometa za mraba 1,713 sawa na asilimia 12.9 ya Mkoa wa Kilimanjar­o wenye eneo la Kilometa za mraba 13,250. POLITICS & NEWS INFORMATION Mabwawa ya eneo la tambarare: Mabwawa haya huchimbwa katika Minyoo hudhoofisha ukuaji wa samaki Mara nyingi imezoeleka kuwa wafugaji wanapoanzisha miradi ya samaki, jambo muhimu la kufanya ni kuwa na maji, bwawa la kufugia, pamoja na lishe, kisha kukaa kusibiri mavuno bila kufanya jambo lingine lolote. Mussa Hassan Zungu,(wa tatu kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Said(wa kwanza kulia) wakiwasili kwenye ukaguzi wa Bwawa la Mtera ambalo lipo Mkoani Iringa, tarehe 7 Mei mwaka huu. Na katika njia hizo za mkato hawajali wanamuumiza nani na hali gani. Your email address will not be published. ... Tito E. Mwinuka amefanya kikao na Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Morogoro ikiwa ni pamoja na kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2018. Katika ziara yake hiyo aliambatana na Waziri wa Nchi Ofisi wa Makamu Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Lakini, hali ya Bwawa la Mtera bado ni mbaya sana. Mussa Hassan  Zungu, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Said pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Nishati na Ofisi ya Makamu wa Rais(Mazingira). Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua kwa sabaabu gani Kikosi cha Valantia Zanzibar kimevamia eneo la uwekezaji. Please enter your username or email address to reset your password. “ Tuna jukumu kubwa la kuhakikisha maji hayaleti madhara nilipokuja kipindi cha nyuma niliona madhara kwenye baadhi ya maeneo na ndio maana nikaunda timu kupitia kwa Katibu Mkuu na baadhi ya viongozi wa Mikoa inayozunguka bwawa hili wafanya uratibu ili kuhakikisha yasiendele kuleta madhara kwa wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo lazima tuyalinde mazingira yetu” alisema Kalemani. Kaimu Meneja wa Kituo hicho, kutoka Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi David Myumbilwa, aliyasema hayo juzi alipozungumza na Wahariri wa vyombo vya habari. ... kilimo holela cha umwagiliaji katika Bonde la Usangu kuna uwezekano mkubwa wa uzalishaji wa nishati ya umeme katika Bwawa la Mtera na Kidatu ukapotea kwa kiwango kikubwa kutokana na upotevu wa maji. Katika bwawa jingine maarufu la Kibasila, picha iliyoonekana huko ni mbaya kuliko ya Bwawa la Ngapemba. Tunaendelea kusisitiza kwa nguvu zote kwamba hata kama uamuzi umepitishwa, maana huwezi kupingana na Rais wa nchi, basi utafiti ufanyike. Kiutawala Halmashauri yaWilaya ya kaliua ina jumla ya Kata 28, ... 17. Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro, lakini pia wapo katika wilaya ya Moshi sehemu za Chekereni, Himo, Mabungo, Uchira, Moshi mjini, na pia katika wilaya ya Hai sehemu za Rundugai na mto Weruweru. Wakati serikali ikiwekeza matrilioni ya fedha kupata umeme wa uhakika kutoka katika Bwawa la Nyerere lililoko Rufiji mkoani Pwani, hali ni tofauti kwenye vyanzo vya maji ya Mto Rufiji. Pia alitembelea Bwawa la kuzalisha umeme la Nyumba ya Mungu kujioneo shughuli za uzalisha. Aliuliza bwawa la Kidatu mkoani Tanga lenye uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 200, kwa mfano, limeharibu mazingira gani? Tujue kabisa ni athari gani zitafuata baada ya kujenga bwawa hili la umeme. Chanzo cha picha, IKULU, TANZANIA. Nalo lipo katika kituo cha ufugaji wa samaki Kingolwira mjini Morogoro. Kalemani alisema lengo la ziara hiyo ni kuhakikisha kuwa maji ya kutosha yanapatikana ya kuzalisha umeme wa kutosha na wa uhakika pamoja na kuangalia athari za mazingira kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani(mwenye shati la bluu) akizungumza na waandishi wa Habari mara baada kumaliza kufanya ukaguzi wa Bwawa la Kidatu Mkoani Morogoro, Mei 7,2020. ASKARI wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Pangani wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 32 waliokutwa wakiwa karibu na hifadhi hiyo wakisafirishwa kupelekwa nchi za kusini mwa Afrika. See instructions. Ameongeza kuwa,waatalamu hao wanapofunguliwa  maji hawapaswi kuwafungulia na kuwacha yakizaga badala yake wayafungulie ili kwenda kwenye mkondo wake unaostahili, kwakuwa yanapozagaa ndio madhara yanapotokea  kwa wananchi ambao wanaishi kandokando ya maeneo hayo.